KUNA WAKATI HISIA HUPENDA MSISIMKO HUPOTEA...HIZI NDIZO SABABU ZINAZOSABABISHA...

Kuna Wakati Hisia Za Kupenda,Msisimko Hupotea?
Sababu Zinazotajwa Kuhusika Ni.

Anahisi Havutii Sana.Mara Nyng Waschana Wakiachwa Hujihisi Kwamba Hawana Mvuto Sana.Anahsi Hata Kama Akikupenda Akitokea Mwenye MvutoZaidi Yake Utamtosa Kama Alivyofanya Aliyepita.

Huogopa Ugonjwa Wa Moyo.Inawezekana Ameshaumizwa Sana Uko Alikotoka Na KilaAnapokuangalia Anahisi Kuteswa Tena Na Hvyo Anaogopa Tena Kupata Ugonjwa Wa Moyo.Ana Mashaka,Hana Amani Na Mapenz Tena.

Ana MawazoKwana Yawewekana Na Wewe Ni Sawa Na Mpnz Wake Aliyepita.Lkn Kubwa Zaidi Ni Mtu Akiwa Ktk Athari Anawaona Wote Ni Walewale.

No comments